DAVIDO 5IVE ALBUM

Review ya Album Mpya ya Davido - 5ive

Davido 5ive Album Cover

Msanii nguli wa Afrobeats kutoka Nigeria, Davido, amerudi tena kwa kishindo na album yake mpya iitwayo "5ive". Album hii imejaa mahadhi ya kisasa na ladha ya kimataifa huku ikihusisha wasanii wa kimataifa kama Omah Lay, Victony, Musa Keys, na Chris Brown.

Nyimbo zinazobamba kwenye album hii ni kama:

  • With You – wimbo wa mapenzi wenye midundo ya kuvutia.
  • Holy Water – unaochanganya sauti ya gospel na Afrobeats.

“5ive” ni album inayodhihirisha ukuaji wa Davido katika muziki na kushirikiana na vipaji kutoka kona mbalimbali za dunia. Hakika, huu ni mwendelezo wa mafanikio makubwa aliyopata kupitia albamu zake zilizopita.

Je, wewe umeusikiliza? Tuambie kwenye maoni!

Comments

Popular Posts